Viangamizi Vya Mtanduko

Author:   Eddie Ramirez ,  Cari Haus
Publisher:   Healthwhys Lifestyle Medicine
ISBN:  

9781955866132


Pages:   98
Publication Date:   18 September 2022
Format:   Paperback
Availability:   In stock   Availability explained
We have confirmation that this item is in stock with the supplier. It will be ordered in for you and dispatched immediately.

Our Price $36.20 Quantity:  
Add to Cart

Share |

Viangamizi Vya Mtanduko


Add your own review!

Overview

"Hiki ni kijitabu cha kusaidia kuokoa Maisha kilicho na njia rahisi ambazo kila mtu anafaa kujua ili kuboresha kinga yake. Watu wengi wamefariki au hata kuugua kwa muda mrefu kwa kukosa ujumbe huu. Kwa kuanza na njia muhimu zaidi, kitabu hiki kitaorodhesha njia zote, moja baada ya nyingine, ambazo ni rahisi kuzifuata nyumbani . Nyingi ya njia hizi za kuimarisha kinga zilisaidia wanajamii ili kuhakikisha kuwepo kwa asilimia moja pekee ya vifo wakati wa mlipuko wa ugonjwa wa ""Spanish flu"", mwaka wa 1918. Rekodi hii ni ya kipekee haswa ikizingatiwa kuwa nyingi ya hospitali kubwa zilishuhudia asilimia 30-40 ya vifo wakati wa mkasa huo. Kitabu hiki hakiangazii kupata chanjo, kuvaa barakoa, kujitenga kutoka kwa wanajamii wengine au kutokaribiana katika shughuli za umma . kinaangazia kuhusu mikakati muhimu ambayo iwapo zitatekelezwa, zitachangia pakubwa katika kuimarisha kinga yetu kibinafsi. Tukizingatia kuwa hakuna hakikisho thabithi katika maisha, ni wajibu wa kila mmoja wetu kufanya yote tuwezayo ili kuimarisha kinga zetu. Kwa njia hiyo, tutakua tumejiandaa vilivyo kuzuia virusi na viini vinavyosababisha magonjwa."

Full Product Details

Author:   Eddie Ramirez ,  Cari Haus
Publisher:   Healthwhys Lifestyle Medicine
Imprint:   Healthwhys Lifestyle Medicine
Dimensions:   Width: 21.60cm , Height: 0.70cm , Length: 27.90cm
Weight:   0.327kg
ISBN:  

9781955866132


ISBN 10:   1955866139
Pages:   98
Publication Date:   18 September 2022
Audience:   General/trade ,  General
Format:   Paperback
Publisher's Status:   Active
Availability:   In stock   Availability explained
We have confirmation that this item is in stock with the supplier. It will be ordered in for you and dispatched immediately.
Language:   Swahili

Table of Contents

Reviews

Author Information

Tab Content 6

Author Website:  

Customer Reviews

Recent Reviews

No review item found!

Add your own review!

Countries Available

All regions
Latest Reading Guide

Aorrng

Shopping Cart
Your cart is empty
Shopping cart
Mailing List