Njama

Author:   E a Musiba
Publisher:   Mkuki na Nyota Publishers
Edition:   2nd ed.
Volume:   4
ISBN:  

9789987083237


Pages:   194
Publication Date:   19 November 2018
Format:   Paperback
Availability:   In Print   Availability explained
This item will be ordered in for you from one of our suppliers. Upon receipt, we will promptly dispatch it out to you. For in store availability, please contact us.

Our Price $55.18 Quantity:  
Add to Cart

Share |

Njama


Add your own review!

Overview

Mpelelezi mashuhuri wa Afrika, Mtanzania, Willy Gamba, akiwa likizoni huko Afrika Magharibi, jijini Freetown, Sierra Leone, anatumiwa ujumbe wa haraka arudi upesi nchini kwani kumetokea hujuma kubwa. Kutokana na uzalendo wake hapotezi muda, hima anarejea nchini. Chifu wake anamweleza kuwa shehena kubwa ya silaha za kivita ambazo ni mali ya wapigania uhuru wa kusini mwa Afrika, imeibiwa bandarini katika mazingira ya kutatanisha. Habari hizi zinaleta utata mwingi, baadhi ya nchi zikisema ni njama za Makaburu, na nyingine zikisema ni njama za Tanzania. Katika kiza kinene kinachozunguka suala hili, serikali ya Tanzania inamtuma Willy Gamba kuwasaka majasusi hawa. Hapo ndipo patashika zinaanza na jiji la Dar es Salaam linakumbwa katika wimbi la msukosuko wa uhaini, usaliti, na mauaji ya kikatili... The four books in this series of detective novels, written in Swahili, were authored by the late Aristablus Elvis Musiba. The novels follow the exploits of Willy Gamba, an elite special operations Tanzanian intelligence officer. Set in various locations in Africa Willy is dispatched to neutralise agents within the Apartheid Regime as well as saboteurs, who are out to destroy those involved with the liberation struggles being waged in Southern Africa.

Full Product Details

Author:   E a Musiba
Publisher:   Mkuki na Nyota Publishers
Imprint:   Mkuki na Nyota Publishers
Edition:   2nd ed.
Volume:   4
Dimensions:   Width: 12.90cm , Height: 1.00cm , Length: 19.80cm
Weight:   0.195kg
ISBN:  

9789987083237


ISBN 10:   9987083234
Pages:   194
Publication Date:   19 November 2018
Audience:   General/trade ,  General
Format:   Paperback
Publisher's Status:   Active
Availability:   In Print   Availability explained
This item will be ordered in for you from one of our suppliers. Upon receipt, we will promptly dispatch it out to you. For in store availability, please contact us.

Table of Contents

Reviews

Author Information

Tab Content 6

Author Website:  

Customer Reviews

Recent Reviews

No review item found!

Add your own review!

Countries Available

All regions
Latest Reading Guide

Aorrng

Shopping Cart
Your cart is empty
Shopping cart
Mailing List