Mambo 15 Tunayokosea Wakati wa Kuomba

Author:   Kalisti Mjuni
Publisher:   Diffusion Des Litteratures En Langues Africaines
ISBN:  

9791092789171


Pages:   98
Publication Date:   15 March 2022
Format:   Paperback
Availability:   In stock   Availability explained
We have confirmation that this item is in stock with the supplier. It will be ordered in for you and dispatched immediately.

Our Price $20.13 Quantity:  
Add to Cart

Share |

Mambo 15 Tunayokosea Wakati wa Kuomba


Add your own review!

Overview

"""Mambo 15 Tunayokosea Wakati wa Kuomba"", ni kitabu kinachoeleza makosa ambayo tumekuwa tukiyafanya wakati wa kuomba yanayosababisha maombi yetu yasijibiwe na Mungu Baba. Pia, kinaeleza utofauti uliopo kati ya sala na maombi; na kina shuhuda za kweli za watu waliojibiwa maombi yao kwa kutumia mbinu ambazo Mungu Baba anataka tuzitumie wakati wa kuomba. Hakuna mtu asiyekuwa na mahitaji ya kumuomba Mungu katika maisha yake. Tunaweza kudhani kwamba: watu wenye mali nyingi, kazi nzuri, elimu kubwa, vyeo au nyadhifa fulani; hawana shida katika maisha yao. Lakini ukweli ni kwamba, kila mtu ana shida au matatizo ambayo amekuwa akimuomba Mungu amuepushe nayo. Swali la kujiuliza hapa ni kwamba: kwa nini maombi yetu yanachelewa kujibiwa au hayajibiwi kabisa na Mungu Baba? Majibu ya maswali hayo utayapata ndani ya kitabu hiki kupitia siri zilizojificha katika Maandiko Matakatifu."

Full Product Details

Author:   Kalisti Mjuni
Publisher:   Diffusion Des Litteratures En Langues Africaines
Imprint:   Diffusion Des Litteratures En Langues Africaines
Dimensions:   Width: 14.80cm , Height: 0.50cm , Length: 21.00cm
Weight:   0.127kg
ISBN:  

9791092789171


Pages:   98
Publication Date:   15 March 2022
Audience:   General/trade ,  General
Format:   Paperback
Publisher's Status:   Active
Availability:   In stock   Availability explained
We have confirmation that this item is in stock with the supplier. It will be ordered in for you and dispatched immediately.
Language:   Swahili

Table of Contents

Reviews

Author Information

Mwandishi wa kitabu hiki ni mlei wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Mt. Yakobo Mkuu Mtume-Mbande, Kigando cha Tambani; Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Ana shahada ya masomo ya lugha (B.A Language Studies) katika lugha za Kiswahili, Kifaransa na 'Linguistics' kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Amewahi kufanya kazi za: uhariri, uandishi wa vitabu, uandishi wa makala kwenye magazeti mbalimbali likiwemo Gazeti la Mwananchi, ufundishaji wa masomo ya lugha katika taasisi na makampuni mbalimbali nchini Tanzania. Kwa sasa ni mhariri wa kujitegemea wa vitabu, nyaraka mbalimbali na makala za magazetini. Pia, ni mfasiri (translator) wa lugha za Kiswahili, Kingereza na Kifaransa.

Tab Content 6

Author Website:  

Customer Reviews

Recent Reviews

No review item found!

Add your own review!

Countries Available

All regions
Latest Reading Guide

lgn

al

Shopping Cart
Your cart is empty
Shopping cart
Mailing List