Maisha yangu: Miaka minane ndani ya baraza la mapinduzi: Khaini au mhanga wa mapinduzi ?

Author:   Khamis Abdulla Ameir
Publisher:   Diffusion Des Litteratures En Langues Africaines
ISBN:  

9791092789096


Pages:   588
Publication Date:   11 March 2022
Format:   Paperback
Availability:   In stock   Availability explained
We have confirmation that this item is in stock with the supplier. It will be ordered in for you and dispatched immediately.

Our Price $61.27 Quantity:  
Add to Cart

Share |

Maisha yangu: Miaka minane ndani ya baraza la mapinduzi: Khaini au mhanga wa mapinduzi ?


Add your own review!

Overview

Full Product Details

Author:   Khamis Abdulla Ameir
Publisher:   Diffusion Des Litteratures En Langues Africaines
Imprint:   Diffusion Des Litteratures En Langues Africaines
Dimensions:   Width: 14.80cm , Height: 3.30cm , Length: 21.00cm
Weight:   0.762kg
ISBN:  

9791092789096


Pages:   588
Publication Date:   11 March 2022
Audience:   General/trade ,  General
Format:   Paperback
Publisher's Status:   Active
Availability:   In stock   Availability explained
We have confirmation that this item is in stock with the supplier. It will be ordered in for you and dispatched immediately.
Language:   Swahili

Table of Contents

Reviews

Author Information

Hadithi ya maisha ya Khamis Abdulla Ameir siyo ya kubuni bali ni ya kweli kabisa juu ya mambo yaliyotokea Zanzibar katika kipindi cha kilele cha Vita Baridi, COLD WAR, baina ya nchi za kibepari za Magharibi na zile za kikomunisti za Mashariki. Khamis aliweza kufika London, Uingereza. Huko ndiko alipojitambulisha na kuwa muumini wa siasa za mrengo wa kushoto baada ya kukutana na akina Abdulrahman Mohammed Babu na Ali Sultan Issa na kuhudhuria mikutano na makongamano yaliyokuwa yakiandaliwa na Chama cha Kikomunisti cha Uingereza na huku akijishughulisha kuwasaidia baadhi ya viongozi wa kisiasa wa Afrika Mashariki waliokimbilia London kuendelea na harakati zao za kuzikombowa nchi zao ili zipate uhuru. Aliporejea Zanzibar, kabla na baada ya Mapinduzi, Khamis alichaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa vyama vya wafanyakazi (FPTU). Khamis alikuwa Mjumbe katika Baraza La Mapinduzi (BLM) kwa muda wa miaka minane mfululizo. Alikuwa vile vile Mwenyekiti wa taasisi kadhaa za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ). Kwa hivyo, aliyajuwa mambo mengi yaliyokuwa yakifanywa na SMZ, mazuri na mabaya. Yote ameyaeleza kwa ufasaha mkubwa katika kitabu hiki. Pia, Khamis anaeleza jinsi Hati ya Makubaliano ya Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar ilivyoshindwa kupata ridhaa ya BLM na kusababisha Zanzibar kupoteza uhuru wake kamili wa kujiamulia mambo yake yenyewe. Khamis alikamatwa na kutiwa jela chini ya ukatili wa Mandera (Ba Mkwe), mtesaji maarufu wa watu mahabusi. Aliishi jela kwa muda wa karibu miaka 7 baada ya kuuawa Rais Abeid Amani Karume na yeye kusukumiziwa janga la uhaini.

Tab Content 6

Author Website:  

Customer Reviews

Recent Reviews

No review item found!

Add your own review!

Countries Available

All regions
Latest Reading Guide

lgn

al

Shopping Cart
Your cart is empty
Shopping cart
Mailing List